Msanii wa muziki Bongo, Ben Pol ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Bado Kidogo’ akiwa amemshirikisha Wyse, video imeongozwa na Hascana. Itazame hapa.
No comments: